PAPA KUWAOMBEA WAKULIMA MWEZI HUU




Baba Mtakatifu Papa Francis ameuchagua mwezi huu wa Aprili kuwa maalum kwa kuwaombea wakulima wadogo wapate mavuno zaidi.
 
Utume wa sala umetangaza kwamba lengo la Papa kufanya maombezi hayo ni kuwafanya wakulima wadogo wapate mavuno kwa kazi yao kubwa na ya thamani,ya kilimo.

Lengo lake la uinjilishaji ni wakristu barani Afrika watoe ushuhuda kwa upendo na imani kwa bwana Yesu Kristu katikati ya migogoro ya kisiasa na kidini.

Zenith.org

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU