UZINDUZI










Matukio mbalimbali yaliyojiri katika uzinduzi wa Albamu inayoitwa ‘NIONGOZE MAMA WA YESU’ iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na kuimbwa na  Kwaya ya Vijana ya Mtakatifu Cesilia, Parokia ya Mt. Antony Maria Claret, Michungwani Kimara. Albamu hiyo ni mkusanyiko wa nyimbo 10 za Mama Bikira Maria zilizotungwa kuanzia mwaka 1990 kurudi nyuma.


Lengo la mkusanyiko huo wa nyimbo za zamani ni uinjilishaji, kumjulisha Bikira Maria kwa waamini ili waendelee kuomba msaada wa maombezi yake, na kutunza muziki mtakatifu wa zamani. Waamini wote mnaalikwa kujipatia DVD hiyo kwa kupiga simu namba 0657835343. Karibuni nyote!

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU