SAME WAFUNGA MIAKA 100 YA UPADRI KWA KUZINDUA NYUMBA YA MAPADRI

Askofu wa Jimbo Katoliki Same Mhashamu Rogath Kimaryo (kushoto), Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha Mhashamu Josaphat Lebulu(katikati) na Askofu Mstaafu Jacob Koda wakizindua nyumba ya mapadri katika Parokia ya Kristo Mchungaji Mwema, Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki Same hivi karibuni. Uzinduzi huo umekwenda sambamba na adhimisho la Misa takatifu ya kufunga kilele cha Miaka 100 ya upadri kijimbo.







Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU