SHEREHE YA WATAKATIFU WOTE JIMBO KUU KATOLIKI MWANZA YAFANA

Matukio mbalimbali ya Sherehe ya Watakatifu wote na pia Sherehe ya Miaka 6 tangu kuanzishwa kwa Parokia ya Watakatifu wote Kiloleli Jimbo Kuu Katoliki Mwanza ambapo Adhimisho la Misa Takatifu limeongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa'ichi, pia amewapatia Sakramenti ya Kipaimara zaidi ya waimarishwa 50 wa Parokia hiyo (Picha na George Alexander Joseph)








Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU