MAHAFALI YA 3 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA SAYANSI ZA AFYA CHA MTAKATIFU FRANSISKO-IFAKARA














Matukio mbalimbali yaliyojiri katika Mahafali ya 3 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Sayansi za Afya cha Mtakatifu Fransisko-Ifakara, ambapo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Steven Kebwe alizindua mradi wa ujenzi wa mabweni ya wanafunzi na Chuo Cha Meno (Dental School) chuoni hapo. Mahafali hayo yametanguliwa na Misa Takatifu iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Ifakara Mhashamu Salutaris Libena (PICHA ZOTE NA PASCAL MWANACHE)

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU