SIKU YA MASIKINI DUNIANI: PAPA FRANSISKO AFAFANUA LENGO

Baba Mtakatifu Papa Fransisko amefafanua juu ya SIKU YA MASIKINI DUNIANI kwa kusema kuwa lengo la  kufanya Siku ya Maskini Dunia inayofanyika, Roma na katika maparokia yote duniani ni kutaka kuelezea jinsi ya kuanzishwa kwa mipango mingi na  madhubuti ya sala na kwa ajili ya kushirikishana. Kwa njia hiyo, ni matumaini yake kuwa inawezekana kabisa masikini wakawa ndicho kiini cha maisha ya jumuiya zote za Kikristo na siyo tu kwa kipindi hiki bali iwe mwendelezo daima wa utambuzi wa masikini, kwa sababu wao ndio moyo wa Injili, na  tunakutana na Yesu ndani yao ambaye anatualika na kutaka tuondoke kwenda wa wale wanaoteseka na wenye uhitaji.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU