SHIGELA:"WAHALIFU TAFUTENI PA KUKIMBILIA"
Amewataka kuacha mara moja tabia hizo chafu kwani zinarudisha maendeleo nyuma kwa kuwanyima wananchi fursa za kujiletea maendeleo na taifa kwa ujumla.
Amekemea vikali baadhi ya uhalifu huo kuwa ni pamoja na ukwepaji kodi,biashara haramu na matumizi ya bandari bubu 19 ambazo imeelezwa zipo mkoani Tanga.
Ametoa onyo hilo wakati akikabidhiwa rasmi ofisi ya ukuu wa mkoa wa tanga kutoka kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mwantumu Mahiza.
Comments
Post a Comment