LALA SALAMA PADRI DELPHIN DENNIS MMI


MISSIONARIES OF MARY IMMACULATE wanasikitika kutangaza kifo cha Padri Delphin Denis MMI aliyefariki tarehe 12/3/2016 katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini Mwanza.Misa ya kumuaga imefanyika leo katika parokia ya Mt.Petro Oystabay jimbo kuu la Dar es salaam.Mwili wa marehemu utasafirishwa hapo kesho tarehe 17 kwenda kwao India kwa mazishi ambayo yatafanyika tarehe 18/3/2016.Marehemu alizaliwa tarehe 17/4/1978 na amefariki akiwa na miaka mitatu ndani ya upadri.Pichani Askofu msaidizi wa Jimbo kuu la Dsm baba Eusebius Nzigilwa akiuombea mwili wa marehemu.
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

Comments

  1. Mungu ailaze roho ya Marehemu Fr Denis mahali pema peponi, kifo cha Fr. Denis kimeniuma sana kwasababu alikuwa ni Padri msaidizi katika Parokia yetu ya Makabe mwaka 2014, Hivyo wana Makabe tumeguswa sana na msiba huu mzito na tunamuomba Mungu ampokee kwenye makao yake ya milele. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

    ReplyDelete
  2. Mungu ailaze roho ya Marehemu Fr Denis mahali pema peponi, kifo cha Fr. Denis kimeniuma sana kwasababu alikuwa ni Padri msaidizi katika Parokia yetu ya Makabe mwaka 2014, Hivyo wana Makabe tumeguswa sana na msiba huu mzito na tunamuomba Mungu ampokee kwenye makao yake ya milele. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU