PAPA FRANSISKO AFUNGA MWAKA WA WATAWA

Baba Mtakatifu Fransisko amefunga rasmi mwaka wa Watawa duniani katika maadhimisho ya Sherehe ya Bwana kutolewa Hekaluni, hapo Februari 2, 2016. Kabla ya kuanza Misa hiyo Papa ameongoza maandamano ya watawa waliokuwa wamebeba mishumaa (pichani), kuashiria Kristo Mwanga wa Mataifa na baadaye akaongoza Ibada ya Misa Takatifu kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatikani, Ibada ambayo imehudhuriwa na umati mkubwa wa watawa kutoka sehemu mbali mbali za dunia.Katika mahubiri yake Papa amewakumbusha watawa kwamba, Sherehe ya kutolewa Bwana Hekaluni ni siku kuu ya watu kukutana, na ni mwanzo wa maisha ya wakfu unaoonyesha ukaribu wa Mungu anayetaka kushirikiana na binadamu mdhaifu na mdhambi. Ametoa mwaliko kwa watawa kutunza ndani mwao hazina ya usafi wa moyo katika maisha na utume wa Kanisa, daima wakionesha moyo wa shukrani, hasa pale wanaposhiriki kikamilifu Fumbo la Ekaristi Takatifu.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI