MAPADRI WAIELIMISHA JAMII MAANA YA IJUMAA KUU LUNINGANI.







LEO asubuhi mapadri wanne,PAUL CHIWANGU,GERLAD KAMINA,STEPHANO KAOMBE,..,wameshiriki katika vipindi vya asubuhi luningani kuuelimisha umma nini maana ya siku ya ijumaa kuu,alhamisi,pasaka na mambo kadha wa kadha kuhusu kanisa katoliki.

Jamii imeipokea elimu hiyo kwa furaha kubwa huku ikihamasika kushiriki katika safari ya mateso na hatimaye kufufuka kwa bwana Yesu Kristu.

Blog hii inawashukuru sana TBC,STAR TV,CHANNEL TEN,ITV kwa kuliamini baraza la maaskofu katoliki Tanzania na kuwaalika mapadri hawa kuuelimisha umma.

Pia blog hii inaendelea kuukumbusha umma kuwa NDICHO KISEMEO CHA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI.Hivyo kwa lolote lile lihusulo kanisa katoliki na hasa kwa wanahabari,utalipata humu.

ASANTENI SANA.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU