BABA ASKOFU MSONGANZILA AOSHA MIGUU WAKAZI WA MUSOMA.




Askofu wa jimbo katoliki Musoma Michael Msonganzila akiwaosha miguu waamini kutoka makundi  yote wakati wa ibada ya Alhamisi kuu katika kanisa kuu la Mtakatifu Mama Bikira Maria wa Mungu jimboni Musoma.

Veronica Modest,Musoma

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI