TANZIA

Uongozi wa Masista wa shirika la Mama yetu wa Usambara (C.O.L.U) unasikitika kutangaza Kifo cha Sr. Salesiana Paul Shayo wa Jumuiya ya kurasini, DSM. 
Sr Amegogwa na gari asubuhi ya leo Tar 23/03/2018 alipokuwa akivuka barabara akitoka Misa ya asubuhi T.E.C. Tuiombee roho yake pumziko la Milele Mbingun. Amina

Pd. Frank Mtavangu
Katibu-Jimbo Kuu DSM

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI