Askofu Mkuu Protas Rugambwa akitoa Daraja Takatifu la Upadri kwa mashemasi wawili jimboni Kigoma (Na Mpiga picha wetu).


Mapadri wapya wa Jimbo Katoliki Kigoma wakitoa baraka kwa Askofu Joseph Mlola ALCP/OSS (Wa kwanza waliopiga Magoti) na Askofu Mkuu Protas Rugambwa  baada ya kupata Daraja Takatifu la Upadri hivi Karibuni (Na Mpiga Picha wetu).


Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI