YALIYOJIRI KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU AMANI
Matukio mbalimbali yaliyojiri katika Misa Takatifu ya
kumsimika Askofu Mkuu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki
Arusha, mnamo Aprili 8, 2018 katika viwanja vya Kanisa Kuu la Mt. Theresia wa
Mtoto Yesu (Kurugenzi ya Mawasiliano TEC)
Mungu awabariki maaskofu wetu
ReplyDelete