RATIBA YA MAZISHI YA PADRI UBALDUS KIDAVURI
BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA
RATIBA YA MAZISHI YA PADRI UBALDUS KIDAVURI TAREHE 16
APRILI 2018
KURASINI DAR ES SALAAM
MUDA
|
TUKIO
|
WAHUSIKA
|
3:00 -4:30
Asubuhi
|
Wageni
kuwasili na Kusaini kitabu cha Maombolezo
|
Kamati
|
4:30 Asubuhi
|
Kuingia
Kanisani
|
Wote
|
5:00-7:00
Mchana
|
Adhimisho
la Misa Takatifu
|
Wote
|
7:00-7:30
Mchana
|
Wasifu wa
marehemu na Salamu za Rambirambi
|
Makundi
mbalimbali (Kama yapo)
|
7:30-8:00
Mchana
|
Heshima
za mwisho
|
Wote
|
8:15
Mchana
|
Kuingiza
mwili kwenye gari, wanaosindikiza mwili kuingia kwenye magari kuelekea Same
|
Wawakilishi
|
8:30 Mchana
|
Kufunga
shughuli
|
Wote
|
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie. Apumzike
kwa Amani, AMINA.
Comments
Post a Comment