TEC YATOA PONGEZI


Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) limefanya hafla fupi Kurasini Centre Dar es Salaam iliyofana sana ya kuwapongeza Mababa Askofu wapya Edward Mapunda(Jimbo Singida),Flavian Kassala(Jimbo Geita),Titus Mdoe(Jimbo Mtwara) na kumuaga na kumshukuru Dokta Fredrick Kigadye ambaye amelitumikia Baraza kwa miaka zaidi ya 20.
Hafla hiyo imehudhuriwa na Maaskofu,Mapadri,Watawa,Walei na wakuu wa idara mbalimbali.
Pia imekuwa ni sehemu ya kuhitimisha kikao cha 69 cha mwaka cha Baraza la Maaskofu(Plenary Meeting) kwa mwaka huu 2016.
Pichani ni matukio kadhaa ya tukio hilo.
 
 







Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU