MUSOMA:Matukio ya siku ya maandamano ya Ekaristi Takatifu



Picha za maandamano ya Ekaristi Takatifu Jimbo kuu la Musoma,  yaliyofanyika katika Kanisa la  Bikra Maria Mama Mtakatifu wa Mungu katika vituo vitatu,kituo cha kwanza kilikuwa katika uwanja wa matumaini katika vijana,kituo cha pili eneo la Makaburi kwa ajili ya kuwaombea wafu,kituo cha tatu eneo la Nyasho Kliniki kuombea wagonjwa na kituo cha nne kwenye jengo la Mwembeni Complex kwa ajili ya kuombea  miradi ya Kanisa na kumuombea Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo hilo Michael Msonganzila.(picha zote na Veronica Modest)
















Picha za matukio wakati wa ibada ya maandamano ya Ekaristi Takatifu Kanisa kuu  Musoma iliyoongozwa na Paroko wa Kanisa hilo Padri Benedicto Luzangi (Picha na Veronica Modest)

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU