INJILI POPOTE:KIGOMA WAIMARISHWA



Askofu Joseph Mlola, ALCP/OSS wa Jimbo Katoliki Kigoma akipanda katika boti kuelekea Kigango cha Zashe kwenye ziara ya kichungaji. 


Askofu Joseph Mlola ALCP/OSS, wa Jimbo Katoliki Kigoma akitoa Sakramenti ya Kipaimara kwa Wakristo 138, Kanda ya Kaskazini Parokia ya Kigoma hivi karibuni.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU