MSAADA WA VITABU





Askofu Bernardin Mfumbusa akitoa Vitabu vya Falsafa kwa wakuu wa seminari Kuu ya Ntungamo, Peramiho na Kibosho kwa ajili ya kuendeleza taaluma  hiyo kwa waseminari katika seminari hizo.

Vitabu hivyo ni kwa msaada wa Shirika la The Church in Need

Askofu Renatus Nkwande amevipokea vitabu hivyo vya Falsafa kama Mwenyekiti wa Bodi ya Seminari TEC

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU