RAIS MAGUFULI AZAWADIWA BIBLIA NA ROZALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amepokea zawadi ya BIBLIA TAKATIFU na ROZALI kutoka kwa Padri Kiongozi Germin Longio aliposhiriki ibada ya Misa Takatifu Dominika ya kupaa kwa Bwana iliyofanyika katika Parokia ya Toleo la Bwana Jimbo Arusha

Comments