HAYAWI HAYAWI,KURASINI WAPATA KANISA JIPYA

Pata matukio mbalimbali katika picha kufuatia kubarikiwa na kutabarukiwa kwa altare ya Kanisa la Mt. Maurus Parokia ya Kurasini Jimbo Kuu Dar es Salaam.
Uzinduzi huo umefanyika parokiani hapo Jumapili ya Utatu Mtakatifu na kuongozwa na Mhashamu Salutaris Libena Askofu wa Jimbo Katoliki Ifakara.
Ujenzi wa Kanisa hilo ulianza tangu mwaka 2004 ambapo hadi kukamilika kwake zimetumika jumla ya shilingi bilioni moja mia mbili hamsini milioni na laki tisa tisini (1,250,990,000) pesa ambayo ilipatikana kutokana na michango ya hali na mali ya waamini wa Parokia hiyo. Picha Zote na Adeline Berchimance

























Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU