PICHA KADHAA ZA MAANDALIZI YA KONGAMANO TAKATIFU LA EKARISTI MWANZA JUNE 2016

Kamati kuu ya maandalizi ya Kongamano Takatifu la Ekaristi ya Jimbo Kuu Mwanza na ujumbe toka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania hivi karibuni ilifanya ziara ya kukagua maandalizi mbalimbali yakiwemo ujenzi wa miundombinu,mawasiliano na mambo kadhaa katika Parokia ya Kwekamo,shule ya seminari sekondari Nyegezi,Bujora n.k ili kongamano hilo lifanyike kwa mafanikio makubwa...hizi ni baadhi ya picha za maandalizi hayo(Picha zote na Bernard James)



























Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU