Masista wa Shirika la Mabinti wa Maria wawasimika viongozi wapya


Matukio mbalimbali yaliyojiri wakati masista wa Shirika la Mabinti wa Maria lenye makao yake Kipalapala Jimbo Kuu Katoliki Tabora walipofanya sherehe ya kuwasimika viongozi wapya wa shirika hilo. Sherehe hiyo ilitanguliwa na Misa Takatifu iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Mhashamu Paul Ruzoka (Picha na Patrick Mabula)









Comments

  1. Tumsifu Yesu Kristu,,,
    Naomba kujulishwa taratibu za mabinti kujiunga na shirika la Mabinti wa Maria,

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU