Baadhi ya matukio yaliyojiri katika Sikukuu ya Familia Takatifu


Baadhi ya matukio yaliyojiri katika Sikukuu ya Familia Takatifu, sikukuu ya watoto mashahidi iliyoenda sambamba na kuwapokea watoto wapya wanaojiunga na Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu, Parokia ya Mtakatifu Stefano Shahidi Buguruni. Adhimisho la Misa Takatifu limeongozwa na Paroko wa Parokia hiyo Padri Novatus Mrema (Picha na Pascal Mwanache)

















Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU