PAPA ATOA TUZO KWA MTUMISHI WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA

 BABA Mtakatifu Fransisko amemtunuku tuzo ya heshima aliyekuwa mkuu wa idara ya afya mstaafu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC) dokta Fredrick Kigadye kutokana na mchango mkubwa alioutoa kwa kanisa katoliki na barza akiitumikia idara hiyo na majukuu mengine. Tuzo hiyo 'BENE MERENTI' imepokelewa kwa furaha na Katibu Mkuu wa TEC Padri Raymond Saba ambaye pamoja na kumpongeza dokta Kigadye, amesema watumishi wengine wa baraza lazima waige mfano wa utendaji wake.


Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU