SAUT kufanya mahafali 8-9/12/2017

Makamu mkuu wa chuo cha mtakatifu Agustino SAUT  dokta Padre Thaddeus Mkamwa akizungumza na wanahabari juu ya kuelekea kwa mahafali ya 19 tarehe 8-9/12/2017 na pia maonesho ya siku ya jamii(community day) ambapo wanafunzi na wahadhiri wa chuo hicho huonesha maonesho mbalimbali ya kitaaluma katika viwanja vya Raila Odinga vilivyopo chuoni hapo kuanzia saa tatu asubuhi. Picha na George Alexander Joseph


Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI