Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu Filbert Mhasi

Askofu wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi Mhashamu Filbert Mhasi akionyesha hati ya kuteuliwa kwake kuwa askofu wa jimbo hilo iliyotoka kwa Baba Mtakatifu Fransisko (Picha na Pascal Mwanache)


Askofu wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi Mhashamu Filbert Mhasi akiwabariki waamini waliompokea katika Parokia ya Chikukwe, ambayo ni parokia ya kwanza ya Jimbo hilo iliyopo mpakani na Jimbo Katoliki Mtwara (Picha na Sarah Pelaji)



Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ambaye ndiye aliyekuwa Askofu kiongozi mweka wakfu akimkabidhi Askofu Filbert Mhasi kitabu cha Injili katika Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu Mhasi (Picha na Pascal Mwanache)


Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akimvalisha pileolus (zucchetto) na mitra Askofu Filbert Mhasi (Picha na Pascal Mwanache)


Askofu wa Jimbo Katoliki Tunduru Masasi Mhashamu Filbert Mhasi akiwa ameketi katika kiti cha kiaskofu mara baada ya kuwekwa wakfu, kushoto ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (Picha na Pascal Mwanache)


Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akimkabidhi Askofu Filbert Mhasi zawadi ya Kalisi kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli (Picha na Pascal Mwanache)


Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI