Naibu Waziri Kwandikwa atoa msaada katika shule ya Jimbo la kahama

Na Patrick Mabula, Kahama.
NAIBU waziri wa Ujenzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa na Mbunge wa Jimbo la Ushetu , Wilaya Kahama amelishukuru  Kanisa Katoliki  kwa mchango wake katika kutoa huduma za jamii ikiwemo afya na elimu.
Amesema hayo alipotembelea shule hiyo hivi karibuni katika ziara yake mjini Kahama ili kutekeleza ahadi yake aliyoitoa kwa shule hiyo  alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza ya wahitumu wa darasa la saba mwaka 2016.
Hivyo ameambatanisha shukrani hizo kwa kutoa msaada wa komputa mbili zenye thamani ya shilingi 2,000,000 katika shule ya msingi ya Mtakatifu Athony wa Padua ya jimbo Katoliki Kahama.
“Serikali  inatambua mchango wa Kanisa katika huduma  za jamii. Nami ninawashukuru sana kwa kazi hiyo ya kuunga mkono jitihada  za serikali.
Nami ninaunga mkono jitihada zenu kwa kidogo nilichotoa ili kwa pamoja tulijenge taifa letu,” amesema.
Kwa upande wao watoto wanaosoma shule ya hiyo ya Mtakatifu Athony wa Padua  wamemshukuru waziri huyo  kwa msaada wa komputa hizo ambazo  zitawasaidia katika mosomo na katika kuchapa mitihani yao ya majaribio  kwa wakati.
Mkuu wa shule  hiyo ,Sista Theresia Nanfuka baada ya kupokea msaada huo amemshukuru Naibu waziri  Kwandikwa kwa kutekeleza ahadi yake aliyotoa  alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya kwanza ya wahitumu wa darasa la saba mwaka 2016.
Sisita Nanfuka  alisema kompyuta hizo ni muhimu  sana kwao zitawasaidia watoto kwenye somo la Tehama na kuwaomba wadau wengine mbalimbali  wenye mapenzi mema kujitokeza kuwasaidia shule yao.


Comments

  1. MY NAME IS MARIAM FROM SOUTH AFRICA...I SAW THIS COMMENT ON POSITIVE BLOGS AND I WILL LOVE TO TELL EVERYBODY HOW MY STATUS CHANGES TO NEGATIVE, AND AM NOW A LIVING WITNESS OF IT AND I THINK ITS A SHAME ON ME IF I DON'T SHARE THIS LOVELY STORY WITH OTHER PEOPLE INFECTED WITH THIS DEADLY VIRUS...,HIV HAS BEEN ONGOING IN MY FAMILY... I LOST BOTH PARENTS TO HIV,. AND IT IS SO MUCH PAIN IVE NOT BEEN ABLE TO GET OVER.. AS WE ALL KNOW MEDICALLY THERE IS NO SOLUTION TO IT..AND MEDICATION IS VERY EXPENSIVE..SO SOMEONE INTRODUCED ME TO A NATIVE MEDICAL PRACTITIONER IN AFRICA..I HAD A JOB THERE TO EXECUTE SO I TOOK TIME TO CHECK OUT ON HIM.I SHOWED HIM ALL MY TESTS AND RESULTS.. I WAS ALREADY DIAGNOSED WITH HIV AND IT WAS ALREADY TAKING ITS TOWL ON ME.. I HAD SPENT THOUSANDS OF DOLLARS SO I DECIDED TO TRY HIM OUT...I WAS ON HIS DOSAGE FOR 1 MONTHS. ALTHOUGH I DIDNT BELIEVE IN IT, I WAS JUST TRYING IT OUT OF FRUSTRATION... AND AFTER 2 WEEKS, I WENT FOR NEW TESTS... AND YOU WONT BELIEVE THAT 5 DIFFERENT DOCTORS CONFIRMED IT THAT AM NEGATIVE..IT WAS LIKE A DREAM,,I NEVER BELIEVE AIDS HAS CURE..AM NOW NEGATIVE,,AM A LIVING WITNESS..I DONT KNOW HOW TO THANK THIS MAN... I JUST WANT TO HELP OTHERS IN ANY WAY I CAN..HAVE JOINED MANY FORUMS AND HAVE POSTED THIS TESTIMONIES AND ALOT OF PEOPLE HAS MAIL AND CALLED THIS MAN ON PHONE AND AFTER 2 WEEKS THEY ALL CONFIRMED NEGATIVE..BBC NEWS TOOK IT LIVE AND EVERY.. HOPE HE HELPS YOU OUT.. EVERYBODY SAW IT AND ITS NOW OUT IN PAPERS AND MAGAZINES THAT THERE'S NATIVE CURE FOR HIV AND ALL WITH THE HELP OF THIS MAN,,HAVE TRIED MY OWN PARTS AND ALL LEFT WITH YOU,,IF YOU LIKE TAKE IT OR NOT..GOD KNOWS HAVE TRIED MY BEST.ABOUT 97 PEOPLE HAVE BEEN CONFIRMED NEGATIVE THROUGH ME..AND THEY SEND MAILS TO THANKS ME AFTER THEY HAVE BEEN CONFIRMED NEGATIVE,,THIS MAN IS REAL..DON'T MISS THIS CHANCE,,HIV IS A DEADLY VIRUS,,GET RID OF IT NOW..
    case there is anyone who has similar problem and still

    looking for a way out, and he those cast all kind of spell like ::
    Love Spells
    Luck, Money Spells
    Health, Well Being
    Protection, Healing
    Curses, ex, Breakups
    NEW! Combo Spells
    High Priestess Spells
    Vampire Spells
    Authentic Voodoo Spells
    Custom, Other Spells
    Business spells
    Health/Healing spells
    Cancer healing
    Curse removal
    Job spells
    Healing from all kind of diseases
    Love binding
    Barrenness(need a child)
    Need love
    Lottery Spells
    Promotions
    Success
    Money rituals
    winning court case
    Divorce spells
    Low sperm count
    Infertility in women
    Breast enlargement/reduction
    Penis enlargement/reduction
    Diabetes
    Arthritis
    sicklecell
    YOU CAN CONTACT HIM HERE AS (dr.abalaka@outlook.com) and also his state based number text him here if you're in the US: 760-935-3804 if you need any question contact me via here as mariambaurice@gmail.com i wish you best of luck and good health.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

HISTORIA YA SHEREHE YA MOYO MTAKATIFU WA YESU