Skip to main content
KUPINGA USAFIRISHAJI HARAMU WA BINADAMU: WAJUMBE WAJADILI
Baadhi ya washiriki wa kongamano la kujadili mbinu za kupingana na usafirishaji haramu wa binadamu lililofanyika nchini Nigeria wakiwa pichani. Kongamano hilo limeandaliwa na Caritas Internationalis, Pontifical Council for the Pasrtoral Care of Migrants and Itinerant People-Vatican na Caritas Afrika.
Mshiriki kutoka TEC bwana Chilewa akiwa na HE Kardinali Tangle rais wa Caritas International katika kongamano hilo.
Comments
Post a Comment