Skip to main content
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Bernard James (kushoto) akimkaribisha Katibu wa Wizara ya Habari, tamaduni, sanaa na michezo Profesa Elisante Olegabriel (KULIA) ambaye ndiye mgeni rasmi katika maadhimisho siku ya upashanaji habari duniani. Kitaifa yalifanyika Katika Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC).
Comments
Post a Comment