Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Raymond Saba akizungumza na
wageni kutoka nchini Italia ofisini
kwake ambao wapo nchini kwa ajili ya kuzindua mradi jimboni Dodoma unaofadhiliwa na Baraza la
Maaskofu Katoliki Italia. (Picha na Sarah Pelaji)
|
Comments
Post a Comment