Posts

MAMBO YA SIKU YA 31 YA VIJANA DUNIANI POLAND HAYOOOO

Image

WALIMU NA WADAU WA MUZIKI MTAKATIFU WAKUTANA TEC

Image
  Baadhi ya matukio yanayojiri katika Mkutano unaowakutanisha Walimu na wadau wa Muziki Mtakatifu wa Kanisa Katoliki, hasa wanaoongoza makundi mbalimbali ya kujadili Muziki Mtakatifu kwa njia ya mtandao. Mkutano huo unafanyika katika Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), na kuongozwa na Askofu Salutaris Libena wa Jimbo Katoliki Ifakara, na Mwenyekiti wa Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Na Pascal Mwanache)

Pope Francis to pray at John Paul II's tomb with kids who have cancer

Image
Vatican City, Jul 26, 2016 / 02:59 pm ( CNA/EWTN News ) .- Before taking off for WYD in Krakow, Pope Francis will pray at the tomb of St. John Paul II alongside children who have cancer, and will bring their prayers to Poland in order to ask the nation's saint for healing. According to a July 26 statement from Italian nonprofit Peter Pan, which works with children who have cancer and their families, members of the association will “share a moment of prayer” with Pope Francis July 27 before he flies to Krakow for World Youth Day. According to the statement, they “will ask the Holy Father to bring with him to WYD the prayers of the families of children and adolescents who are ill, and to unite them to those of the youth, who come from all over the world, and to his own, so that with the intercession of St. John Paul II, these children can be restored to health.” Founded in Rome in 2000, Peter Pan is a volunteer association and was born from the desire of a g...

MAUAJI YA KUSIKITISHA:PAPA ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Image
Mapema,Baba Mtakatifu Francisko, alipewa taarifa nyingine ya kusikitisha juu ya mauaji ya kikatili kwa Padre na waamini kadhaa kutekwa nyara wakati wakihudhuria Ibada ya Misa mapema Jumanne hii Julai 26 , 2016, Kaskazini mwa Ufaransa . Na pia alipokea habari za kusikitisha za mauaji yaliyotokea katika kituo cha walemavu cha Ujapani.  Papa Francisko baada ya kupewa taarifa  ya mauaji  Padre Jacques Hamel  mwenye umri wa miaka 84 na utekaji nyara uliofanyika katika kanisa la Mtakatifu Etienne-du-Rouvray la Rouen Ufaransa , mara alipeleka salaam zake za rambirambi kwa Askofu Mkuu Dominique Lebrun wa Jimbo Kuu la Rouen, ambamo ameonyesha masikitiko yake, na kwamba anawaweka wote pamoja na wahalifu  mbele ya hukumu ya Mungu.  Msemaji wa Vatican, Padre  Federico Lombardi, amesema pamoja na maumivu na hofu zinazotokana na  "vurugu hivi za kusikitisha,  Papa Francisko katika salaam zake za rambirambi, hajaonyesha chuki kwa walio...

JUBILEI YA MIAKA 50 YA SECAM KUADHIMISHWA KAMPALA,UGANDA 2019

Image
Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM, Jumapili tarehe 24 Julai 2017  limehitimisha mkutano wake wa 17 huko Luanda, Angola kwa Ibada ya Misa Takatifu. Mkutano wa 18 utaadhimisha Jimbo kuu la Kampala, Uganda, kunako mwaka 2019, SECAM itakapokuwa inaadhimisha Jubilei ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake. Askofu mkuu Gabrieli Mbilingi amechaguliwa tena kuwa Rais wa SECAM kwa awamu ya pili mfululizo. Makamu wa Rais ni Askofu Anton Sithembele Sipuka kutoka Jimbo Katoliki la Umtata, Afrika ya Kusini. Askofu mkuu Charles G. Palmer-Bucker amechaguliwa kuendelea kuwa ni mweka hazina wa SECAM wakati Askofu Emmanuel Badejo ataendelea kuwa ni Mwenyekiti wa Tume ya Mawasiliano ya SECAM, ijulikanayo kama CEPACS. Wajumbe wengine wa Kamati ya kudumu ya SECAM ni pamoja na Askofu mkuu Samuel Kleda kutoka Jimbo kuu la Douala, Cameroon anayewakilisha Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika ya Kati, ACERAC pamoja na Askofu mkuu Thomas M...

MAGAZETINI LEO JUMATANO JULAI 27

Image