Uchaguzi Mkuu kuangukia Jumatano imejibu maombi ya Wakristo – TEC


KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, ameielezea hatua ya Serikali kuitangaza Oktoba 28 kuwa tarehe ya kuppiga kura katika Uchaguzi Mkuu nchini,  kwamba imietimiza ombi la muda mrefu la waamini Wakkristo kufuatai tarehe hiyo kuangukia Jumatano ambayo siyo siku ya Kiibada kwao.

Alitoa kauli hiyo  wakati akizungumza na vyombo vya habari, katika mahojiano yaliyofanyika ofisini kwake Kurasini jijini Dar es Salaam, ambapo alisema tofauti na chaguzi zilizopita ambazo zimekuwa zikifanyika siku ya Jumapili, uchaguzi wa mwaka huu umetekeleza kwa vitendo haki ya kila Mtazania kuwa na Uhuru wa kuabudu na uhuru wa kupiga kura.

“Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 5 inaweka wazi haki ya kila Mtazania mwenye sifa zinazotakiwa kushiriki kikamilifu uchaguzi iwe ni kwa kupiga kura au kuchaguliwa huku Ibara ya nane pamoja na mambo mengine, inatoa uhuru wa kujitawala…hivyo uchaguzi wa namna hii kufanyika Jumapili ulikuwa unagonganisha haki msingi za kuabudu na kupiga kura,”


Hata hivyo alipendekeza uamuzi huu huwe endeleavu yaani kwa tarehe ya uchaguzi kuangukia siku ambazo si za Ibada kwa dini na madhehebu yote nchini.

“Leo tusifurahie Wakristo alafu uchaguzi mwingine ukaangukia kwenye siku ambayo wenzetu Waislamu ama Wasababto wanaitumia kuabudu, badala yake tunaomba liwe zoezi endelevu ya kuheshimu siku hizo za kuabudu kwa imani zote,” amesisitiza.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeitangaza Oktoba 28 mwaka huu kuwa siku ya kupiga kura kuwachagua rais, wabunge na madiwani, ikiwa ni Uchaguzi Mkuu wa sita tangu Tanzania iingie kwenye Mfumo wa vyama vingi nchini.

Hata hivyo hii itakuwa ni sehemu ya historia kwani katika chaguzi kadhaa zilizopita, uchaguzi wa mna hiii umekuwa ukifanyika siku ya Jumapili ambayo ni siku ya Kiibada kwa waamini wa Dini ya Kikristo husuani wale ambao wapo chini ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) huku madhebu ya Kisabato yakisali siku ya Jumamosi na upande wa Waislamu wao siku ya ya Ibada ni Ijumaa.

Miongoni mwa chaguzi hizo zilizofanyika Jumapili kwa miaka ya hivi karibuni ni Uchaguzi Mkuu wa 2005 uliofanyika Desemba 4 mwaka huo ambao hata hivyo ulikuwa ufanyike Jumapilipi ya Oktoba 3 mwaka huo lakini ukahairishwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Makamu wa Rais, Dk. Omar Alli Juma. Mwingine ule wa mwaka 2015 uliofanyikaa Jumapili ya Oktoba 25 mwaka huo.


Comments

  1. Tumsifu Yesu kristu .ninaujumbe wapendwa Mimi nimkatoliki waamini wetu hawajui kusoma biblia wamepumbazwa na shajara .chonde maaskofu .futenikabisa mashajara tuzoeee kushika bibilia.shajarani wakala wampumbaza Kristu.Roho mt.awaongozee 2026 kusiwe na mashajara tena tushike biblia nazaburi zake zitukae.tutaimarika.Asanteni niwazo langu tuuu wapedwaMbarikiwe.

    ReplyDelete
  2. Mukesh Ambani of India,was neated in Rs 5 crores donation,to Salangour Hanum Temple,for the killed - who like Anant Ambani.Mukesh hopes like a poor,to hope that Anant Ambani to a hope,for 100 years - and he will to die for Anant Ambani

    https://www.jammulinksnews.com/mukesh-ambani-offers-prayers-at-salangpur-hanuman-temple-announces-%e2%82%b95-crore-donation/

    Indian has a people in a nation that eaten Highs Gods (which fogs and be killed and killed) like a Mukesh Ambani,was neated in Rs 5 crores donation,to Salangour Hanum Temple,for their kogs.

    What did Rs 30,00,000 Crores has earned from the from like oil,from the Mukesh Ambani which earned the oil recover, from the Governent of India cleared from Mukesh Ambani ? Why does not kill him can and killed him ? Because from Mukesh is loonting the Government of India,as they loosing the India Government,as India is loosing the Government of India. India is a looning state !

    Mukesh Ambani makes power like Oil in India and Indian makes pass amount of Oil.Why is India making Oil, and wakes out of Mukesh Ambani ? Why is the this for the India and HINDUUUU ! It is the India and the Hinduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu !

    Like power is making in Venezuela for all making in the goverment !

    Anant Ambani (his son) read to accerate deap,for now,for his soon,son Anani Ambani.Even the Lope of God was to live and wope to hope for some Ambani and was his Hindoo Goa !

    Mukesh Ambani and Anant Ambani are aware to buy on death been very soon.

    Time was an killer to kill,the scum the inner for Mukesh Ambani and Anant Ambani and the Brahmins,Banias and Hinduism

    Mukesh Ambani does not pasted,his son Messi and not India,and Mumbai,and post his son as the mather as Messi and 2 sons,and the father as Argentina,as the state in India and the,and the Mukesh Ambani had also now doon for ARGENTINA !

    The Messi comes the Indian Backwards,in the mode at Mumbai,and the hole,as Mukesh Ambani in the pole here !

    Argentina has foxed in India and in Mumbai, with Mukesh in Bombay !

    The Mumbai were with 2 weeks before,with Messi,in Indian bastards (the dogs) and the drugs huge of Mukesh Ambani and kick the hoge of Messi !

    Argentina vs Saudi Arabia | SOUTH ARABINS BY genius left powerless by fate (1:2, for win for Saudi Arabia)

    https://www.youtube.com/watch?v=GE7WsE168oc

    Saudi Arabia weaten the Argentina !

    In the last rule !

    Highlights Argentina vs Croatia | CROATIAN BY 3 SONS
    Argentina vs Saudi Arabia | SOUTH ARABIANS BY genius left powerless by fate
    HIGHLIGHTS | Ireland 2-0 Portugal | FIFA World Cup 26 Qualifier
    Portugal vs Morocco | The underdog delivers an unforgettable moment - 1 more for Morocco
    Morocco vs Portugal | A Historic Shock Where Willpower Topples a Giant
    Netherlands vs Argentina | A Classic Match Where Mental Strength and Emotions Speak = 2/2 email
    "Uruguay da el golpe en La Bombonera" - Uruguay ganó 2-0 con goles de Ronald Araújo y Darwin Núñez, propinando a Argentina
    Japan vs Spain | Steel spirit defeats possession dominance- Japans by 2 sons
    Portugal vs South Korea | SOUTH KOREA WINS BY 2 SONS
    Denmark vs Japan | When Nordic Football Meets Asian Technique win with 1-3
    Portugal vs Iran | Elite technique meets warrior spirit - AT 1.1 ARE AT FROM PART 1.2
    Morocco vs Senegal - 0-1 and look by 1 goan ! Morocco and lost to 1 goans in the 2nd goan,and the 1 st goan to Senegal ! Morocco was 1 goan to Senegal,and 1 goan against loan,and the Senegal was a lost goan,in Senegal (excel Senegal, (to the goan).Even in the 2 goans, and loses a goan(by Morocco to Senegal) from Senegal,Goans loan in the 2nd loan one ! Morocco was lost in the loan and the excellent ? Win to the Senegal,and a safe to, a defeat to winner !

    Portugal and Argentina were killed in join !

    Pakistan killed out and killed and dead,by India bastards,with resulted the Pakistan out Nuke,sure and kill the Indian !

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI