MAFUNGO YA PASAKA:WATAWA WASHIRIKI MUSOMA








WATAWA wenye nadhiri za muda wa jimbo katoliki Musoma wameshiriki kwenye mafungo kwa ajili ya pasaka.

Katika picha hizi anayeonekana akitoa neno la imani ni Padri John Bosco Kiyuga ambaye ni Paroko wa Parokia ya Nyamiongo Jimboni Musoma.

Victoria Modest,Musoma

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI