ALAMA ZA MKRISTO

ALAMA ZA MKRISTO ALIYEKOMAANA KULELEWA NA KUKULIA KATIKA IMANI YA KIKRISTO HUWA:-
✅Anaongea ukweli muda wote
✅ni Msikilizaji Mzuri
✅Ni Mgumu kupokea lawama
✅Anasamehe mapema
✅Anaaminika
✅Anasaidia
✅Ana kiu ya kufunga na kufanya maombi
✅Anategemea neno la Mungu
✅Kadri Mungu anavyompandisha ndivyo anavyozidi kuwa mnyenyekevu
✅Ni mgumu saana kujitetea
✅Mwepesi wa kutubu
✅Anatafuta amani na kuitetea
✅Anapenda watu na anahuruma
✅Anajua wakati gani wa kuongea na wakati gani wa kukaa kimya
✅Amejawa na hekima katika nyanja nyingi za maisha
✅Anaheshimu watu na anaguswa saana na hisia za watu
✅Ana uvumilivu wa kutosha na akasiriki mapema.

✅Anahofu ya Mungu
✅Anatoa heshima panapo staili
✅Ana mahudhui ya kile alichonacho
✅Ana ujuzi mzuri wa Uongozi
✅Ni Mkarimu
✅hachukuliwi na aina yote ya Mafundisho
✅Ni mwanafunzi mzuri
✅Ana roho ya utoaji
✅Awashushi watu wengine wala kuongea umbea
✅ wana Imani
✅ananafasi katika shughuli za kanisa na na anahudhuria  kanisani mara kwa mara.
✅Ni msafi katika kila Nyanja zote za Maisha.
✅Roho yake ipo Sensitive na anachukia dhambi.
✅aigizi na kujiona mtakatifu kuliko wengine(ahukumu)
✅Ashindani na wengine.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI