Posts

KARDINALI PENGO AKABIDHI MRADI WA KISIMA KWA SERIKALI

Image
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amemkabidhi Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, kisima cha maji katika kituo cha mafunzo cha watoto (Mahabusu ya watoto) Upanga jijini Dar es salaam. Kardinali Pengo amekabidhi mradi huo uliotokana na michango iliyotolewa na Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu Jimbo Kuu Katoliki Dar es salaam, ambapo hadi kukamilika kwake mradi huo umetumia jumla ya shilingi Milioni 11,780, 000/=. (Na Pascal Mwanache)

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMANNE YA AUGUST 22

Image

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMATATU YA AUGUST 21

Image