IBADA YA IJUMAA KUU KUTOKA MBEYA IPO MUBASHARA KATIKA CHANELI YA TAIFA (TBC)
Adhimisho la Ibada ya Ijumaa Kuu Kitaifa katika Kanisa la Bikira
Maria wa Fatima Parokia ya Mwanjelwa, Jimbo Katoliki la Mbeya. Ibada inaongozwa na Askofu Evarist Chengula wa Jimbo Katoliki la Mbeya.
Comments
Post a Comment