Kahama Waanza Maandalizi Kumpokea Askofu Mpya

Msimamizi wa kitume wa Jimbo Katoliki Kahama Askofu Ludovick Minde ALCP/OSS amewataka mapadre,watawa na waamini kuendelea kusali na kudumisha umoja na mshikamano wanaposubiri mungu aweze kuwapatia Askofu mpya.

Askofu Minde ambaye ni Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi amesema hayo katika misa takatifu iliytofanyika katika kanisa la Mtakatifu Karoli Lwanga iliyoambatana na kuzindua rasmi kamati ya maandalizi ya kumpokea rasmi Askofu Mpya anayekuja.

Askofu Minde amewataka wanajimbo la Kahamaa kwa imani kuendelea kusali na kumuomba mungu aweze kuwapatia mchungaji mkuu wa jimbo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

SALA YA ASUBUHI:SALI HIVI..

Ujio wa Wamisionari wa Kwanza Tanzania Bara (2)

MJUE MTAKATIFU MARIA GORETTI